Аренда (чартер) яхт по всему миру

available 0cars

Idadi kubwa ya watu hivi karibuni imeweza kugharamia sikukuu zao muhimu. Mbali na shughuli za kawaida za mapumziko, wasafiri wengi hupendelea kubalizi ufukweni katika mashua nzuri.

Matajiri sana miongoni mwao wamenunua mashua zao wenyewe na wanaweza kuamua wakati na wapi watembee na vyombo vyao vya kifahari. Wengine huishi kwa kukodisha mashua badala ya kufanya ununuzi mkubwa. Hata hivyo, chaguo hili sio baya kwa sababu wana uwezo wa kupata mashua za kifahari. Bado wanaweza kufurahia kwa gharama nafuu.

JE, INAGHARIMU KIASI GANI KUKODI mashua?

Kabla ya kuchunguza gharama za kukodi mashua, kwanza mtu anapaswa kuchunguza kwamba kukodi mashua kunajumuisha nini.

VITU VYA BEI GHALI

Angalia hatua kwa hatua:

  1. Bei halisi ya kukodi mashua, ikiwa imewekwa wakati wa makubaliano ya awali au inaonekana kwenye tovuti zetu, inaweza kupatikana katika orodha yetu. Bei inajumuisha

  – Kukodi mashua

  – Misaada ya kukodi

  – Utoaji kwa wafanyakazi

  – Bima ya chombo na wafanyakazi

  – Utiaji nanga katika bandari ya serikali ya mashua kama ipo kwenye njia.

  Kwa kawaida bei hutegemea ukubwa wa chombo, vifaa vya burudani, msimu na umri. mashua ya zamani na ndogo hali kadhalika bei ya kukodi itakuwa ndogo.  Pia inahusiana na kukodi chombo kabla ya msimu pamoja na uwekaji nafasi mapema. Kuna bei ya kukodi mashua kila wiki kwa ajili ya kujivinjari kila wiki. Kubaini muda kifupi cha kukodi, gawanya bei kwa sita na zidisha kwa idadi ya siku nzima ya kukodi inayotakiwa. Kwa muda mrefu zaidi ya wiki moja, gawanya gharama kwa saba na zidisha kwa namba ya siku nzima. Hivyo, bei ya kukodi siku nzima kunatofautiana katika mazinira yote mawili. Kwa nini ‘hakuna usawa’? Tofauti ya bei inaendana na uwiano wa idadi ya wafanyakazi walioshiriki kukiandaa chombo. Wafanyakazi hufanya maandalizi sawa kwa safari fupi na safari ndefu. Zaidi ya hayo, bei ya kukodi pia inajumuisha muda wa mapumziko kati ya watilianaji sahihi.

  1. Gharama zinazohusiana ni pamoja na gharama za

  Mafuta

  – Utoaji wa abiria

  – Vinywaji vyenye kilevi na visivyo na kilevi kwa wageni

  – Mafuta kwa ajili ya mashua na vifaa vya maji

  – Ushuru wa mfereji

  Usafi wa binafsi

  Kufulia

  – Gharama binafsi za abiria

  Gharama hizi zinakokotelewa mwishoni mwa safari. Unaweza kuongeza asilimia thelathini kwenye gharama ya awali.

  1. VAT.

  Nchi nyingi za Umoja wa Ulaya zimeweka sheria ya VAT ya nauli. Malipo ya VAT hutegemea nhi unayoitembelea na bendera iliyopo kwenye chombo unahosafiria. Kwa wastani, gharama za VAT zinaongeza asilimia kumi hadi ishirini kwenye kiasi cha nauli.

  1. BAHASHISHI KWA MFANYAKAZI.

  Burudani kamili unayoipata inachangiwa na wafanyakazi. Wanakitunza na kuiongoza hombo majini vile vile kutoa huduma kamili kwa abiria. Wakati wa safari, wafanyakazi wanahudumu wakati wote. Ndio maana bahashishi ni kawaida, jambo linalotarajiwa. Kiwango cha bahashishi vinatofautiana sana. Ulaya, bahashishi inakadiliwa kuanzia asilimia tano hadi kumi ya bei ya kukodisha. Bahashishi ipo juu nchini Marekani na Visiwa vya Caribean. Mtu anatarajia kuongeza asilimia kumi hadi ishirini zaidi ya huduma za kawaida.

  1. KURUDI KWENYE BANDARI YA NYUMBANI.

  Mtu yuko huru kuchagua chombo hali kadhalika njia. Ikiwa mtu anaamua kushuka kwenye mashua mahali popote zaidi ya bandari ya kuingia, tarajia kulipa gharama ya kurudi kwenye bandari ya nyumbani. Gharama hizi zinajumuisha gharama za mafuta kwa ajili ya kufika nyumbani na gharama za kukodi chombo kwa muda wa safari bila kujali ikiwa mtu anarudi kwenye bandari ya nyumbani au katika kituo kingine ulichochagua.

  1. AMANA.

  Mara nyingi, hautalazimika kulipa amana. Amana huhifadhiwa kwa ajili ya dharura na ukamilishaji wa mkataba. Inashauriwa kukumbuka kwamba wamiliki wapya wa mashua wanaweza kutarajia amana ya lazima kwa ajili uharibifu usioepukika. Gharama inaweza kufikia hadi Euro 10,000-20,000 kwa mashua kubwa zenye urefu wa hadi mita 60. Hizi ni gharama za msingi za kukodi hombo.

  Chaguo la Bajeti

  Ikiwa huwezi kumudu gharama kubwa, basi chombo kidogo, chenye urefu wa mita 15-20, ni chaguo sahihi. Gharama za kukodi mashua ndogo ni ndogo sana. Kwa kawaida, huwa kuanzia Euro 1,500 hadi 5,000 kwa wiki. Kwa kuwa mashua ndogo zina wafanyakazi wa asili-kati ya mmoja au wawili – gharama pia ni ndogo kuanzia kati ya Euro 150-200 kwa siku. Zaidi ya hayo, gharama za chakula huwa kati ya Euro 200-300 kwa kila mtu.  Gharama za ziada zinaongeza nyongeza ya Euro 50-100 kwa kila abiria pia.

  Za kifahari hugharimu pesa nyingi

  Hata hivyo, ikiwa hutaki kupinda kona katika likizo yako, unaweza kukodi mashua ndefu. Kwa maana hiyo, gharama ya kukodi kwa wiki inaanza Euro 16,000 kwa mashua ya mita 20 wakati wa majira ya bei ya chini hadi Euro 600,000 kwa mashua ya mita 60 wakati wa majira ya bei ya juu. Zaidi ya hayo, tarajia gharama zaidi zitakazoongezwa. Asilimia yao imeelezwa hapo juu.

  Sasa tunajua machaguo yote ya bei ni wakati wa kukodi mashua!

  ScanMarine TM (Cofrance SARL) ni chaguo bora zaidi. Hili ni shirika kubwa la kimataifa la Kirusi na Kiingereza kutoka Ufaransa na lina idadi kubwa la mashua. Unaweza kuchunguza chaguzi kwa kutazama orodha yetu. Timu yetu itakusaidia kufanya maamuzi mazuri ya kuchagua mashua kwa hitajio lako na kiwango cha bei ili kuifanya burudani yako ya kukumbukwa.